Silabasi

   Silabasi ya Somo la Kiswahili (K.C.S.E  102)  
l
 


 

 

3.2.0 Kusoma
3.2.1 Kusoma kwa sauti na kwa ufa

  •  Sauti mwambatano k.m. /mw/, /kw/, /mb/, /ng/, /nj/, /nd/, n.k
  •  Sauti na maneno tatanishi k.m.p/b, s/sh, l/r, ch/sh, s/z (papa/baba, tata/dada. Susu/zuzu
  •  Vitate k.m. kua/kuwa, pua,bua, vua/fua
  •  Maneno tatanishi yenye sauti mwambatano k.m. mbalimbali, kindani/kidani, buni/mbuni
  •  Sentensi zenye maana tatanishi
  •  Vitanza ndimi
  •  Vifungu vya maneno na aya

3.2.2 Kusoma kwa kina
      a) Kusoma vitabu viteule: Riwaya, Tamthilia, Ushairi: Mashairi ya arudhi na
          Mashairi huru, Hadithi fupi
       b) Historia na maendeleo ya Kiswahili
            i) Lugha ya Kiswahili baada ya uhuru nchini Kenya
           ii) Wajibu wa Kiswahili kitaifa na kimataifa
          iii) Matatizo yanayoikumba lugha ya Kiswahili
          iv) Mikakati inayofaa kuimarisha lugha ya Kiswahili

3.2.3 Kusoma kwa mapana:
        Kusoma vitabu vya ziada, Magazeti, Majarida, Makala ya runinga na redio, Makala mbalimbali ya  
       
kitaaluma kwa kuzingatia uchambuzi wa maswala ibuka kama vile afya na ukimwi,
        utandawazi na mawasiliano.
3.2.4 Matumizi ya maktaba: Maana, umuhimu na matumizi ya maktaba

3.2.5 Matumizi ya kamusi: Maana, aina, umuhimu na matumizi ya kamusi k.m. kamusi ya visawe, teknolojia n.k.

Ukurasa wa 1  2  3 4 5 6 7 8
Chumba cha Majadiliano>>>  Tuma Maswali/majibu>>>

 


Haki zote zimehifadhiwa. Kunakili Makala yoyote kutoka Kwenye Tovuti Hii Bila Idhini Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi. Makala yote yanamilikiwa na Gskool.com punde tu yanapotumwa.
Tuma Mchango wako
au maswali kwa kiswahili@gskool.com.
Home 
Forums and Discussions  Legal  Contacts  Faqs

©Gskool Educational Site