Silabasi

   Silabasi ya Somo la Kiswahili (K.C.S.E  102)  
l
 
 

  

 

1.1.2 Yaliyomo
    (i)  Matamshi bora
 1. Kiimbo
 2. Shadda
 3. Irabu/vokali - /a/, /e/, /i/, /o/, /u/.
 4. Konsonanti - /b/, /ch/, /d/, /dh/, /f/, /g/, /gh/, /h/, / j/, /k/, /l/, /m/, /n/, /ng'/, /ny/, /p/, /r/, /s/, /sh/, /t/, /th/, /v/, /w/, /y/, /z/.
 5. Ala za sauti/kutamkia
 6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m. ghuna, sighuna/hafifu, vipasuo, vikwamizo n.k.
 7. (i) silabi si-la-bi

   (ii) silabi tatanishi

 1. Maneno
 2. Vitate k.m. baba, papa
 3. Vitanza ndimi

   Maamkizi na mazungumzo

 1. a) Maamkizi na mazungumzo katika muktadha mbalimbali – nyumbani, dukani, mtaani, sokoni, shuleni, hotelini, hospitalini, posta, kituo cha polisi, mahakamani n.k

          b) mahojiano
          c) mijadala
          d) hotuba

  Ufahamu wa kusikiliza: 
         Ufahamu wa taarifa za kusikiliza
 
  Kusikiliza na kudadisi

 1. Dhima ya fasihi kwa jumla – (i) Maana na (ii) Aina
 2. Fasihi simulizi: Vipera vya fasihi simulizi
 3. i) Hadithi : utambaji na masimulizi – hurafa, hekaya, Visasili, Mighani, Ngano, na miviga.
   ii) Semi: Methali, Vitendawili, mafumbo na chemsha bongo, Misemo, Lakabu, Misimu, na Tanakali za sauti
  iii) Ushairi - Nyimbo
  iv) Ngomezi – fasihi ya ngoma kuhusu ujumbe

 4. Maigizo

Ukurasa wa 1  2  3 4 5 6 7 8
Chumba cha Majadiliano>>>  Tuma Maswali/majibu>>>

 


Haki zote zimehifadhiwa. Kunakili Makala yoyote kutoka Kwenye Tovuti Hii Bila Idhini Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi. Makala yote yanamilikiwa na Gskool.com punde tu yanapotumwa.
Tuma Mchango wako
au maswali kwa kiswahili@gskool.com.
Home 
Forums and Discussions  Legal  Contacts  Faqs

©Gskool Educational Site