|
Soma Maswaali na Majibu>>>
Tuma Maswali>>>
Maswali haya yametumwa na watu tufauti tofauti kutoka sehemu mbali mbali
za ulimwengu. Tunakuhitaji wewe na wenzako ili tuungane tuweze kutatua
matatizo yanayosababishwa na kutoifahamu lugha ya kiswahili vyema.
Tembelea
kurasa zetu za majandiliano
na uungane na wakereketwa wa lugha ya
Kiswahili katika kuikarabati lugha ya hii teule. Hili ni jambo la busara
ambalo mbali na kuendeleza umaarufu wako katika lugha ya Kiswahili pia
tunaweza kukutunukia zawadi kuwa mmoja wa
mabingwa wetu wa Kiswahili, tuzo ambalo kwa kweli litatambulika kote
ulimmwenguni hivi Karibuni.
Weweza pia kutuma maswali kwetu kwa kuandika
barua pepe kwa
kiswahili@gskool.com au kujaza
fomu iliyo hapa chini.
Maswali au majibu utakayotuma yatajandiliwa na wasomaji wa Gskool na
majibu kuandikwa kwenye kurasa mpya za chumba cha majadiliano. Majibu kutokea sasa utayapata kwenye kurasa hizi. 
|