Mabingwa    Wajue Mabingwa wa Kiswahili  
l
 


>>
Ukurasa wa 1
>>Ukurasa wa 2
 




 

 

Chumba cha Majadiliano>>>  Tuma Maswali/majibu>>>

Ukurasa wa mabingwa wa kiswahili ni kitengo tunachoanzisha ili kuwapa heshima zao wale wote walichangia na wanaochangia pakubwa katika kuikuza lugha ya kiswahili.
 Kwa sasa kwa ufupi tu tutawataja wafuatao ambao wamechangia pakubwa katika kuimarisha lugha hii yetu teule:

Mwalimu Walla Bin Walla
Ken Walibora
Marehemu Prof. Katama Mkangi
Marehemu Yusuf King'ala

Orodha yetu itakuwa ndefu punde tu uchunguzi wetu utakapokamilika. Naam, kama pengine hatujakutaja kama mbingwa wa Kiswahili na unadhani, au ukweli ni kwamba wewe umechangia pakubwa, basi usiwe na wasiwasi mbali tuandikie barua ( kiswahili@gskool.com )na bila shaka kwa idhini ya mkuu wa idara ya kiswahili wa gskool, basi tutakuweka kwenye orodha yetu.

 


Haki zote zimehifadhiwa. Kunakili Makala yoyote kutoka Kwenye Tovuti Hii Bila Idhini Iliyoandikwa na Wakurugenzi Hakuruhusiwi. Makala yote yanamilikiwa na Gskool.com punde tu yanapotumwa.
Tuma Mchango wako
au maswali kwa kiswahili@gskool.com.
Home 
Forums and Discussions  Legal  Contacts  Faqs

©Gskool Educational Site