Kutoka kwa mhariri Mkuu:
Karibu kwenye nakala ya mtandao ya mwangaza. Twapiga hatua
siku baada ya siku. Ni matarajio yetu kwamba jarida la mwangaza
litawafikia wasomaji wengi kote ulimwenguni.
Katika toleo hili
utayasoma mengi ya kukuelimisha na kukuburudisha. Hata hivyo,
twaomba radhi kwa kutoweza kuyachapisha baadhi ya makala kwa sababu
zisizoepukika.
Ikiwa unayo maswali,
makala, mashairi n.k. ambayo unataka yachapishwe katika jarida la
mwangaza, tafadhali yatume kwa
mwangaza@gskool.com.
Shukurani na karibu.
Stephen Mutevu
Mhariri Mkuu
|
Jarida la mwangaza limesajiliwa
katika ofisi kuu ya Starehe kuwa
Jarida rasmi la Utukufu wa Kiswahili. Mwangaza huchapishwa na
Jopo la Kiswahili, Starehe. Makala yote yaandikwe kwa Mhariri
Mkuu. Mhariri ana haki ya kuhariri makala yoyote kulingana na
mantiki, nafasi ya uchapishaji na lugha iliyotumiwa. |
|
Ukweli ni
kuyasema mambo wazi kama yalivyo bila kuongezea wala kupunguza
lolote wala chochote. Kwa mara nyingi sisi waja ...>>> |