|
Mwangaza
Tunakusudia kuanza kuchapisha Jarida la gskool. Kwa sasa hatujaanza
kuchapisha jarida lenyewe lakini wakati ukizidi kupita tutaanza
kulichapisha jarida lenyewe na utaweza kuyasoma makala yako bila kwenda
kwenye mtandao.
Kwa sasa tunakuhimiza
kusoma jarida la utukufu wa kiswahili,
MWANGAZA,
linalochapishwa na jopo la kiswahili la Starehe Boys' centre. Kusudi
letu ni kukuelimisha wewe pamwe na wanachi wengine na kuhakikisha kwamba
Lugha ya Kiswahili inazidi kukua.
Ili kuchapisha makala
yako katika jarida la mwangaza tafadhali yatume kwa mhariri mkuu
ukitumia anwani ya shule ya upili ya starehe, s.l.p 30178, 00100gpo
Nairobi.
Chumba cha Majadiliano>>>
Tuma Maswali/majibu>>>
|