|
Karibu kwenye
kitengo cha Kiswahili cha
tovuti ya gskool.com. Tunakuelimisha, kukufurahisha, kukupa wosia na
kukutuza kwa kuungana nasi. Tumejitolea kukifikisha kiswahili upeo wa
juu zaidi kama lugha zingine za ulimwengu.
Lengo letu: Lengo letu kuu ni kukuelimisha wewe na kuungana na
wakereketwa wa lugha ya kiswahili ili kuiendeleza ipasavyo.
Mwanzo wa Kiswahili:
Kiswahili ni lugha inayotumika sana katika eneo la Afrika mashariki na
Afrika ya Kati. Asili ya kiswahili ni mchanganyiko wa lugha ya kiarabu
na lugha za kibantu. Kwa sasa, Kiswahili kinazidi kupata umaarufu na
kukua. Maneno mapya yanazidi kubuniwa hasa katika upande wa Teknolojia.
Tumekuandalia makala sufufu na bila shaka
utaweza kujielimisha na kuimarisha ujuzi wako wa lugha ya Kiswahili.
Tembelea Chumba cha majadiliano>>>
|